Duuuh hiyo vipiDuuuh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unapozi we mwanamke sijapata kuona..
Naomba tuonaneDuuuh hiyo vipi
Sawa....Naomba tuonane
Weeeeeeee hiv Ni kweli?Pole sana,.naskia watu wamefunga hadi na ndoa humu..
Kweli eeehWeeeeeeee hiv Ni kweli?
Nataman na Mimi siku moja nipate mpenzi humu,Kweli eeeh
😃😃😃kazana tuu utapataNataman na Mimi siku moja nipate mpenzi humu,
Nisaidie kutafuta ndg yangu[emoji2][emoji2][emoji2]kazana tuu utapata
Me sijui sasa hitaji la moyo wako...Nisaidie kutafuta ndg yangu
Yeyote tu ili mradi awe member wa JfMe sijui sasa hitaji la moyo wako...
Wakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Unasema??Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaaaa. [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watafute sasa...si wadada wanajulikanaYeyote tu ili mradi awe member wa Jf
Mimi nataka nikutane na wewe ndo niache kukutana na watu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kila mtu atajifanya hajakutana na watu humu jf kumbe ana list zake
Niliokutana nao inatosha kwakweli na sihitaji tena kuongeza wengine