Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Unapozi we mwanamke sijapata kuona..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora mimi kuliko wewe, yaani kukubembeleza kote kole ukanitolea nje hivi hivi.[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mie nishakutana na wana JF wawili hadi hivi sasa...[emoji854][emoji854][emoji854]
 
Mwigulu, Zitto, Lema, Slaa n.k ni wana JF, unaweza ukaomba kukutana nao...
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
 
Back
Top Bottom