Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Watu wote nnao waona mtaani huwa hawafanani kabisa na wa humu jf... natamani nikutane nao nione wanafananaje[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom