Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Khaaaaaa. [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaa. [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
NiniKhaaaaaa. [emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu niache we Dada hujakutana na hata mmoja mfyuuuNini
Namimi ni kama wewe mkuu...Wakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Nimekutana na nani eti wewe kivuruge!Ebu niache we Dada hujakutana na hata mmoja mfyuuu
Kumbe tuko wengi jomoniii...itabidi sisi ambao hatujakutana tukutane eti... Sakayo 😎Namimi ni kama wewe mkuu...
Me naogopa jomoniii🤣🤣Mother Confessor
Sakayo
Naomba niwaone! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Sema haki ya Mungu!!!Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
Hilo jina lako tayari linanitishaMother Confessor
Sakayo
Naomba niwaone! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tubaki wajane vijana jomonii..lol[emoji23]
Chaaa😂Ebu mpango tukutane mimi na wewe pekee...teh
😂😂😂😂Hilo jina lako tayari linanitisha
Watu wote nnao waona mtaani huwa hawafanani kabisa na wa humu jf... natamani nikutane nao nione wanafananaje[emoji28][emoji28]Wakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
NaapiaaaSema haki ya Mungu!!!
Na naniliu?
Nenda tuuChaaa[emoji23]
Ebu ukooo hata Yesu alikanwa sishangai mfyuuuNimekutana na nani eti wewe kivuruge!