Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Mi mwenyewe nimewamiss nlokutana nao Tanzania Kenya Ethiopia na wale wa Turkey nmewamiss sana..fanyeni mpango tukutane tena
 
Tangu nikutane na yule mwana j.f Tapeli aliniuzia laptop mbovu nikiwa shule sina hamu tena!
 
Back
Top Bottom