Nina shida kubwa sana na CCM, ila kwenye haya Salute Rais Samia🚶‍♀️

Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule.

Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme.

Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi kushukuru Serikali inapotimiza wajibu wake wa msingi. Pia haya yote yanafanywa kama majukumu ya msingi kwa kodi zetu sisi Watanzania!

Kuna maeneo machache ambayo mtu anapaswa kupewa sifa au shukrani binafsi.

Sote tunafahamu nafasi ya Tanzania kimataifa ilishuka sana awamu ya 5. Kuna fursa nyingi ambazo kama nchi tulianza kuzikosa kutokana na Magufuli kuharibu sana suala la Mahusiano ya Kimataifa.

Tuliona mikutano mikubwa ikienda kufanyika Rwanda huku Rwanda wakijibrand kimataifa kufikia hata kuizidi Tanzania na wakichukua fursa mbalimbali za Kiuchumi.

Kusema ukweli, Rais Samia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuinua tena nafasi ya Tanzania kimataifa.

Kufanyika kwa mikutano mikubwa kama huu wa Nishati sio tu kunaifanya Tanzania kujulikana zaidi ila kunaongeza fursa za Tanzania kiuchumi ikiwemo kuongeza wageni mbalimbali wanaotembelea nchi yetu na pia kuzidi kuipa nchi fursa zaidi za kiuchumi.

Vitu vya namna hii ndo watu wenye akili wanaweza sema tumpongeze Rais Samia maana masuala haya sio majukumu ya msingi ya Serikali bali ni juhudi binafsi za mhusika ndizo zinasababisha haya.

Bado nina shida kubwa na CCM ila kwa kuinyanyua hivi Tanzania Kimataifa, hongera Samia
Bado una ka unafiki ndani Yako. Kama unapongeza,ni haki Yako,hutaki pia si lazima maana inajulikana kwamba jukumu la serikali ni kukusanya Kodi na kuifanyia maendeleo nchi.
 
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule.

Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme.

Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi kushukuru Serikali inapotimiza wajibu wake wa msingi. Pia haya yote yanafanywa kama majukumu ya msingi kwa kodi zetu sisi Watanzania!

Kuna maeneo machache ambayo mtu anapaswa kupewa sifa au shukrani binafsi.

Sote tunafahamu nafasi ya Tanzania kimataifa ilishuka sana awamu ya 5. Kuna fursa nyingi ambazo kama nchi tulianza kuzikosa kutokana na Magufuli kuharibu sana suala la Mahusiano ya Kimataifa.

Tuliona mikutano mikubwa ikienda kufanyika Rwanda huku Rwanda wakijibrand kimataifa kufikia hata kuizidi Tanzania na wakichukua fursa mbalimbali za Kiuchumi.

Kusema ukweli, Rais Samia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuinua tena nafasi ya Tanzania kimataifa.

Kufanyika kwa mikutano mikubwa kama huu wa Nishati sio tu kunaifanya Tanzania kujulikana zaidi ila kunaongeza fursa za Tanzania kiuchumi ikiwemo kuongeza wageni mbalimbali wanaotembelea nchi yetu na pia kuzidi kuipa nchi fursa zaidi za kiuchumi.

Vitu vya namna hii ndo watu wenye akili wanaweza sema tumpongeze Rais Samia maana masuala haya sio majukumu ya msingi ya Serikali bali ni juhudi binafsi za mhusika ndizo zinasababisha haya.

Bado nina shida kubwa na CCM ila kwa kuinyanyua hivi Tanzania Kimataifa, hongera Samia
Baadhi ya watanzania ni wanafki ila everyone agrees kimoyo moyo.
 
Kwani kuna sehemu nimesema kajenga hii Conference centre?

Kuvutia na ikiwezekana kufanya lobbying mikutano ya namna hii kufanyika nchini kwako hii ni sifa ambayo kwenye ulimwengu wa kimataifa kiuchumi lazima uwe nayo ili kuvutia na kutengeneza zaidi fursa kwako.
Yaani umefurahia kusimamisha uchumi wa wananchi wa kawaida kwa kuzia shughuli za uzalishaji hadi mkutano uishe! Huu ndiyo ulikuwa wakati wa wananchi kufanya biashara na wageni waliokuja, ilikuwa fursa kwa wananchi kuonesha ukarimu na amani iliyopo nchini kwa kuwapokea na kuwashangilia wageni ambao wangependa kutembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar, siyo kufunga wasifanye shughuli zao kabisa
 
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule.

Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme.

Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi kushukuru Serikali inapotimiza wajibu wake wa msingi. Pia haya yote yanafanywa kama majukumu ya msingi kwa kodi zetu sisi Watanzania! Hakuna kiongozi anayetoa fedha zake mfukoni kufanya haya.

Kuna maeneo machache ambayo mtu anapaswa kupewa sifa au shukrani binafsi.

Sote tunafahamu nafasi ya Tanzania kimataifa ilishuka sana awamu ya 5. Kuna fursa nyingi ambazo kama nchi tulianza kuzikosa kutokana na Magufuli kuharibu sana suala la Mahusiano ya Kimataifa.

Tuliona mikutano mikubwa ikienda kufanyika Rwanda huku Rwanda wakijibrand kimataifa kufikia hata kuizidi Tanzania na wakichukua fursa mbalimbali za Kiuchumi.

Kusema ukweli, Rais Samia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuinua tena nafasi ya Tanzania kimataifa.

Kufanyika kwa mikutano mikubwa kama huu wa Nishati sio tu kunaifanya Tanzania kujulikana zaidi ila kunaongeza fursa za Tanzania kiuchumi ikiwemo kuongeza wageni mbalimbali wanaotembelea nchi yetu na pia kuzidi kuipa nchi fursa zaidi za kiuchumi.

Vitu vya namna hii ndo watu wenye akili wanaweza sema tumpongeze Rais Samia maana masuala haya sio majukumu ya msingi ya Serikali bali ni juhudi binafsi za mhusika ndizo zinasababisha haya.

Bado nina shida kubwa na CCM ila kwa kuinyanyua hivi Tanzania Kimataifa, hongera Samia
Una shida na ccm kwa sababu ya utamaduni wao?
 
Yaani umefurahia kusimamisha uchumi wa wananchi wa kawaida kwa kuzia shughuli za uzalishaji hadi mkutano uishe! Huu ndiyo ulikuwa wakati wa wananchi kufanya biashara na wageni waliokuja, ilikuwa fursa kwa wananchi kuonesha ukarimu na amani iliyopo nchini kwa kuwapokea na kuwashangilia wageni ambao wangependa kutembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar, siyo kufunga wasifanye shughuli zao kabisa
Hakuna shughuli ya uchumi iliyosimama. Boda kama hujapeleka abiria Posta utapeleka Magomeni au Gongo la Mboto
 
Sijui la kusifia hapa na kama ungesubiri mpaka mkutano uishe na kuona kuna fursa gani zimekuja na je vijana watapata ajira
Au matajiri wataongezeka sawa
Ila mpaka wizi utapokoma na Rushwa labda ndio tutasonga kidogo, mbali na hapo hawa viongozi wakuondoka tu business as usual kama wanavyosema wanasiasa matapeli
 
Kwa nini tusubiri? Kwani huoni impact ya huo mkutano so far?
 
Back
Top Bottom