Nina shida kubwa sana na CCM, ila kwenye haya Salute Rais Samia🚶‍♀️

Bado una ka unafiki ndani Yako. Kama unapongeza,ni haki Yako,hutaki pia si lazima maana inajulikana kwamba jukumu la serikali ni kukusanya Kodi na kuifanyia maendeleo nchi.
 
Baadhi ya watanzania ni wanafki ila everyone agrees kimoyo moyo.
 
Yaani umefurahia kusimamisha uchumi wa wananchi wa kawaida kwa kuzia shughuli za uzalishaji hadi mkutano uishe! Huu ndiyo ulikuwa wakati wa wananchi kufanya biashara na wageni waliokuja, ilikuwa fursa kwa wananchi kuonesha ukarimu na amani iliyopo nchini kwa kuwapokea na kuwashangilia wageni ambao wangependa kutembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar, siyo kufunga wasifanye shughuli zao kabisa
 
Una shida na ccm kwa sababu ya utamaduni wao?
 
Hakuna shughuli ya uchumi iliyosimama. Boda kama hujapeleka abiria Posta utapeleka Magomeni au Gongo la Mboto
 
Sijui la kusifia hapa na kama ungesubiri mpaka mkutano uishe na kuona kuna fursa gani zimekuja na je vijana watapata ajira
Au matajiri wataongezeka sawa
Ila mpaka wizi utapokoma na Rushwa labda ndio tutasonga kidogo, mbali na hapo hawa viongozi wakuondoka tu business as usual kama wanavyosema wanasiasa matapeli
 
Kwa nini tusubiri? Kwani huoni impact ya huo mkutano so far?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…