Nina shida na Gari dogo la mkataba matumizi binafsi

Wapigwe tuu

Senior Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
173
Reaction score
224
- Ist au Premio lenye hali Nzuri. Kwa matumizi ya kwenda kazini na kurudi
-Rejesho 850,000 kwa mwezi au kwa week
- kwa miezi 18
-mimi ni mwajiriwa Sekta binafsi sina familia
- bank statements na slips zipo hata za miaka 2 kuonyesha ninaweza kumudu rejesho.

Kindly DM me if interested
Ahsante
 
This is interesting.

So huyu potential lender hautamuwekea collateral?

Very interesting especially jumping into a thread that you have no any intention of contributing anything except your mere negative doubt. It's clearly stated uje inbox and some have done that already i just feel so offended by your reply. I wish i saw your face too man do me that favor inbox
 
Nadhani kakuuliza swali zuri, huko inbox watu wengi wamelizwa nivema ukawa wazi hapa.
 
Mm ndo mwenye shida na mimi ndo nimeomba watu waje inbox. If not interested unapita hakuna kujifanya kujua. Nikitaka kulizwa ni mimi na wihitaji ushauri wa mtu au watu ningeomba ushauri kwenye thread pia.
 
Very interesting especially jumping into a thread that you have no any intention of contributing anything except your mere negative doubt. It's clearly stated uje inbox and some have done that already i just feel so offended by your reply. I wish i saw your face too man do me that favor inbox

Kwani hilo swali lina shida gani? Mbona lipo poa tu? Kingereza kiiiiingiii na hakina maana.
 
Kwenye post yangu sijaja kuomba maswali. Mwenye kutaka kufanya biashara na mimi nilimuomba inbox alafu aniulize maswali. Ni uelewa mdogo tuu kama wako

Bro ukipata mtu niite mbwa nimekaa pale.
Mtu anakufuata inbox ikitegemea ni namna gani tangazo lako limemshawishi. Ndio maana inabidi uandike kitu kinachoeleweka. Watu wana mambo mengi ya kufanya wewe weka wazi kila kitu mtu akija huko ni tayari kawa interested kufanya biashara na sio mahojiano.

Badilika, watu hawaishi hivo ndio maana hadi leo hauna gari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fungua thread yako mpya kufundisha watu jinsi yakuishi and I won't bring my nose hapo. HANNAH ni jina la mdogo wangu wa kike isije kuwa ndo yeye.
 
Kwanini niite binadamu mwenzangu mbwa? Nimeshapata mtu tayari hapa hapa. Wewe ni Hannah a beautiful girl name. I respect women
 
Aaahhh wee[emoji23][emoji23] umpate nani?? Na kama kweli umepata mtu nakushauri sana uikague hiyo gari sana. Hizo zitakuwa ni zile gari zimejichokea hata kwa milion 1 unabeba maana matengenezo yake ni 10M+.

Gari ya maana kwa maelezo yako haya hauwezi pata.
 
Fungua thread yako mpya kufundisha watu jinsi yakuishi and I won't bring my nose hapo. HANNAH ni jina la mdogo wangu wa kike isije kuwa ndo yeye.

Nakushauri wewe na utaelewa tu na usipoelewa nitaendelea kukushauri hadi ujue kuongea na watu vizuri.

Mimi naweza nikawa sina hiyo gari ila nina connection kwa hiyo maelezo yako yaliyojitosheleza ndio yangekusaidia wewe kwenye hiyo connection yangu.

Nakushauri ubadilike lasivyo utatembea na miguu hadi jua likuambie “nunua gari nitakuja kukuua”.
 
Back
Top Bottom