Nina shida na Gari dogo la mkataba matumizi binafsi

Nakushauri wewe na utaelewa tu na usipoelewa nitaendelea kukushauri hadi ujue kuongea na watu vizuri.

Mimi naweza nikawa sina hiyo gari ila nina connection kwa hiyo maelezo yako yaliyojitosheleza ndio yangekusaidia wewe kwenye hiyo connection yangu.

Nakushauri ubadilike lasivyo utatembea na miguu hadi jua likuambie “nunua gari nitakuja kukuua”.
😂 ila watu
 
Yeah niko Dar nafanya kazi posta
Kuna kampuni naijua ili wakupe gari ni lazima uwe na kianzio nadhani ni 5m ama unaweza kwenda benk kama kampuni yenu inakopesheka. Wanao utaratibu wa kukopesha magari. Lakini vile vile Kuna kampuni ya Watu credit. Hii inakopesha PIKI piki. Kwa kianzio Cha 400k tu. Kwa jinsi mafuta yalivyo panda bei PIKI piki ni best solution ndugu kiongozi
 
Kindi kile waziri mkuu mizengo pinda alisema "wapigwe tuu" ndo kipindi natengeneza account yangu hii nilikuwa mdogo kidogo
Sawa naweza kukupa ila unilipe kwanza miezi 7-9 bila kukupa gari, halafu miezi 7-9 ya mwisho nakupa gari ukate comprehensive insurance na card original nitabaki nayo, upo tayari ?
 
Kuna kampuni naijua ili wakupe gari ni lazima uwe na kianzio nadhani ni 5m ama unaweza kwenda benk kama kampuni yenu inakopesheka. Wanao utaratibu wa kukopesha magari. Lakini vile vile Kuna kampuni ya Watu credit. Hii inakopesha PIKI piki. Kwa kianzio Cha 400k tu. Kwa jinsi mafuta yalivyo panda bei PIKI piki ni best solution ndugu kiongozi

Asante sana kwa ushauri boss. I think 5m ntamudu ni recommend jina la kampuni inbox. Pikipiki naona iko risky sana na sipend kuendesha
 
Sawa naweza kukupa ila unilipe kwanza miezi 9 bila kukupa gari, halafu miezi 7-9 ya mwisho nakupa gari ukate comprehensive insurance na card original nitabaki nayo, upo tayari ?
Huu ni utapeli
 
Very interesting especially jumping into a thread that you have no any intention of contributing anything except your mere negative doubt. It's clearly stated uje inbox and some have done that already i just feel so offended by your reply. I wish i saw your face too man do me that favor inbox
Trust me bro the reply was not to offend you. Am working in a private firm and I faced same struggles while I attempted to acquire a loan (mine was cash).

That was me trying to learn.
 
Nakushauri wewe na utaelewa tu na usipoelewa nitaendelea kukushauri hadi ujue kuongea na watu vizuri.

Mimi naweza nikawa sina hiyo gari ila nina connection kwa hiyo maelezo yako yaliyojitosheleza ndio yangekusaidia wewe kwenye hiyo connection yangu.

Nakushauri ubadilike lasivyo utatembea na miguu hadi jua likuambie “nunua gari nitakuja kukuua”.
Daah😂😂Kuna watu wanang'ngania
 
Nope, not interested nataka nimuonyeshe risk ambayo anaingia mwenye gari kama nayeye yupo tayari kuionja ?
Kama ni hivyo sawa, lkn mtu hawezi kulipa marejesho kabla ya mkopo au kuanza kukitumia chombo cha kuzalishia.

Labda kama na yeye anakodiwa kwa mkataba na anapewa down payment ya mwaka
 
Another fool who jumps into unnecessary argument just to prove himself intelligent. Is it hard kusoma ukapita kama huna msaada? Huu siyo ukurasa wa maoni na mawazo ya mtu. Am not looking for that am looking for a genuine guy who has a car i pay him monthly or even weekly like uber Drivers do. Card anabaki nayo tunaweka mkataba na mm nategemea me mshahara wangu ambao unakidhi hicho kiasi bila kuni affect. Gari inakuwa na insurance kubwa na in 18 months anakuwa ashatengeneza profit/ interest. Yes you're fool
 
Hakuna mtu anaweza kukupa gari kwa mentality hii, kwanza hujui kuargue your closest resort ni insults, gari inachangamoto nyingi, kama ukipigwa pasi tu wewe si unaweza kupigana mpaka ufe ndugu zako washikilie gari ya watu kwamba ulinunua na ni urithi wao...Goodluck with that.
 
Bro ukipata mtu niite mbwa nimekaa pale.
Mtu anakufuata inbox ikitegemea ni namna gani tangazo lako limemshawishi. Ndio maana inabidi uandike kitu kinachoeleweka. Watu wana mambo mengi ya kufanya wewe weka wazi kila kitu mtu akija huko ni tayari kawa interested kufanya biashara na sio mahojiano.

Badilika, watu hawaishi hivo ndio maana hadi leo hauna gari[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbwa tena[emoji848]
 
Kama ni hivyo sawa, lkn mtu hawezi kulipa marejesho kabla ya mkopo au kuanza kukitumia chombo cha kuzalishia.

Labda kama na yeye anakodiwa kwa mkataba na anapewa down payment ya mwaka
Huyu kuanzia, ID yake, majibu yake, na historia ya account yake ukimpa gari umeuza gari lako kwa laki nane, halafu utasikia aliamishiwa Milembe mahali anapostahili.
 
Nakushauri wewe na utaelewa tu na usipoelewa nitaendelea kukushauri hadi ujue kuongea na watu vizuri.

Mimi naweza nikawa sina hiyo gari ila nina connection kwa hiyo maelezo yako yaliyojitosheleza ndio yangekusaidia wewe kwenye hiyo connection yangu.

Nakushauri ubadilike lasivyo utatembea na miguu hadi jua likuambie “nunua gari nitakuja kukuua”.
Aiseee
 
Sina hela cash wala collateral nategemea salary. Na hakuna valid institution inayotoa mkopo wa gari jipya bila collateral
Kila mtu ana mawazo yake.
Hiyo kazi unayofanya ni lazima sana upande gari binafsi?

Dah! vijana tuna safari ndefu sana.

Lete pesa kidogo tu 4.5M nikuuzie Altezza iliyo kwenye hali nzuri kabisa.

Kama huna cash nielekeze kazini kwako.
Tuwekeane mkataba.
Unaitumia pesa ikitimia hiyo 4.5M gari inakuwa yako.
 
Ndiyo boss lazima nipande gari. Mshahara wangu ni 2.5m baada ya makato kwa mwezi. Nina miaka 29 so bado nina safari ndefu sana. Ila malengo yako au ya wazazi wako kwenye maisha hayawezi kuwa yangu. Ukisoma vizuri post nimesema IST na Premio. Nimekujibu hivyo kisa umeanza kuandika tofauti ukamaliza tofauti
 
Huyu kuanzia, ID yake, majibu yake, na historia ya account yake ukimpa gari umeuza gari lako kwa laki nane, halafu utasikia aliamishiwa Milembe mahali anapostahili.

I made you work. You're so unoccupied mpaka ukapata muda kunifanyia small investigation [emoji23]. Good another fool. Anyway nimepata mtu analeta gari nikague. Ila lets keep this thread active for fun mm na ww I feel happy ku engage na mtu tofauti you make me smile [emoji2] i kill time pia
 
Upfront weekly payment....vigezo na masharti mengine kuzingatiwa.Upo tayari tufanye biashara.
 
Mi nnayo sijui itakufaa. Ni inbox kama uko will ni vitz nyu. Imesimamia ukucha.
 
Back
Top Bottom