Nina shida na Gari dogo la mkataba matumizi binafsi

Nina shida na Gari dogo la mkataba matumizi binafsi

Kila mtu ana mawazo yake.
Hiyo kazi unayofanya ni lazima sana upande gari binafsi?

Dah! vijana tuna safari ndefu sana.

Lete pesa kidogo tu 4.5M nikuuzie Altezza iliyo kwenye hali nzuri kabisa.

Kama huna cash nielekeze kazini kwako.
Tuwekeane mkataba.
Unaitumia pesa ikitimia hiyo 4.5M gari inakuwa yako.
Njoo pm man, tufanye connection
 
Kwenye post yangu sijaja kuomba maswali. Mwenye kutaka kufanya biashara na mimi nilimuomba inbox alafu aniulize maswali. Ni uelewa mdogo tuu kama wako
Bro uko sawa. Lakini maadam umeweka Uzi wako public na kuulizwa uulizwe public ili usiwalize watu kwamtego wa 850K kwa Mwezi..
Lakini pia unaweza kupata ushauri rahisi ambao badala ya kulipa hiyo hela ukamilikindinga yako kwa kukopa na kulipa 850k kwa mwezi.
Ukiwa mkali kwa maswali rahisi kiasi hiki hata mtu mwenye hiyo IST ataogopa maana atahofu kupigwa na kitu kizito kichwani.
Kuwa mpole.
 
Aaahhh wee[emoji23][emoji23] umpate nani?? Na kama kweli umepata mtu nakushauri sana uikague hiyo gari sana. Hizo zitakuwa ni zile gari zimejichokea hata kwa milion 1 unabeba maana matengenezo yake ni 10M+.

Gari ya maana kwa maelezo yako haya hauwezi pata.
Ngoja apambane na gari fake, kadi fake na zinasoma ili akijichenga ajue hajui. Huu mjini kila mtu anasukuma kete kwenda mbele [emoji16][emoji16]
 
Sina hela cash wala collateral nategemea salary. Na hakuna valid institution inayotoa mkopo wa gari jipya bila collateral
Hapo post zipo,sema mpango wako nimeupenda ilitakiwa iwe mortgage
 
Kwanini niite binadamu mwenzangu mbwa? Nimeshapata mtu tayari hapa hapa. Wewe ni Hannah a beautiful girl name. I respect women
Hilo Jiji kuitwa bongo usifikiri walioita ni wajinga,save you own money ili kitu kisumame chenyewe
 
Back
Top Bottom