Wapigwe tuu
Senior Member
- Jan 31, 2015
- 173
- 224
Upo dsm...?- Ist au Premio lenye hali Nzuri. Kwa matumizi ya kwenda kazini na kurudi
-Rejesho 850,000 kwa mwezi au kwa week
- kwa miezi 18
-mimi ni mwajiriwa Sekta binafsi sina familia
- bank statements na slips zipo hata za miaka 2 kuonyesha ninaweza kumudu rejesho.
Kindly DM me if interested
Ahsante
Kwanini wapigwe tu ?
Upo dsm...?
Mkuu 850,000*12 ni kama 10,200,000/= why usinunue kabsa used lililo na hali nzuri?
This is interesting.Sina hela cash wala collateral nategemea salary. Na hakuna valid institution inayotoa mkopo wa gari jipya bila collateral
This is interesting.
So huyu potential lender hautamuwekea collateral?
Nadhani kakuuliza swali zuri, huko inbox watu wengi wamelizwa nivema ukawa wazi hapa.Very interesting especially jumping into a thread that you have no any intention of contributing anything except your mere negative doubt. It's clearly stated uje inbox and some have done that already i just feel so offended by your reply. I wish i saw your face too man do me that favor inbox
Nadhani kakuuliza swali zuri, huko inbox watu wengi wamelizwa nivema ukawa wazi hapa.
Very interesting especially jumping into a thread that you have no any intention of contributing anything except your mere negative doubt. It's clearly stated uje inbox and some have done that already i just feel so offended by your reply. I wish i saw your face too man do me that favor inbox
Kwani hilo swali lina shida gani? Mbona lipo poa tu? Kingereza kiiiiingiii na hakina maana.
Kwenye post yangu sijaja kuomba maswali. Mwenye kutaka kufanya biashara na mimi nilimuomba inbox alafu aniulize maswali. Ni uelewa mdogo tuu kama wako
Bro ukipata mtu niite mbwa nimekaa pale.
Mtu anakufuata inbox ikitegemea ni namna gani tangazo lako limemshawishi. Ndio maana inabidi uandike kitu kinachoeleweka. Watu wana mambo mengi ya kufanya wewe weka wazi kila kitu mtu akija huko ni tayari kawa interested kufanya biashara na sio mahojiano.
Badilika, watu hawaishi hivo ndio maana hadi leo hauna gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ukipata mtu niite mbwa nimekaa pale.
Mtu anakufuata inbox ikitegemea ni namna gani tangazo lako limemshawishi. Ndio maana inabidi uandike kitu kinachoeleweka. Watu wana mambo mengi ya kufanya wewe weka wazi kila kitu mtu akija huko ni tayari kawa interested kufanya biashara na sio mahojiano.
Badilika, watu hawaishi hivo ndio maana hadi leo hauna gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini niite binadamu mwenzangu mbwa? Nimeshapata mtu tayari hapa hapa. Wewe ni Hannah a beautiful girl name. I respect women
Fungua thread yako mpya kufundisha watu jinsi yakuishi and I won't bring my nose hapo. HANNAH ni jina la mdogo wangu wa kike isije kuwa ndo yeye.