Njoo pm man, tufanye connectionKila mtu ana mawazo yake.
Hiyo kazi unayofanya ni lazima sana upande gari binafsi?
Dah! vijana tuna safari ndefu sana.
Lete pesa kidogo tu 4.5M nikuuzie Altezza iliyo kwenye hali nzuri kabisa.
Kama huna cash nielekeze kazini kwako.
Tuwekeane mkataba.
Unaitumia pesa ikitimia hiyo 4.5M gari inakuwa yako.
Bro uko sawa. Lakini maadam umeweka Uzi wako public na kuulizwa uulizwe public ili usiwalize watu kwamtego wa 850K kwa Mwezi..Kwenye post yangu sijaja kuomba maswali. Mwenye kutaka kufanya biashara na mimi nilimuomba inbox alafu aniulize maswali. Ni uelewa mdogo tuu kama wako
Ngoja apambane na gari fake, kadi fake na zinasoma ili akijichenga ajue hajui. Huu mjini kila mtu anasukuma kete kwenda mbele [emoji16][emoji16]Aaahhh wee[emoji23][emoji23] umpate nani?? Na kama kweli umepata mtu nakushauri sana uikague hiyo gari sana. Hizo zitakuwa ni zile gari zimejichokea hata kwa milion 1 unabeba maana matengenezo yake ni 10M+.
Gari ya maana kwa maelezo yako haya hauwezi pata.
Hapo post zipo,sema mpango wako nimeupenda ilitakiwa iwe mortgageSina hela cash wala collateral nategemea salary. Na hakuna valid institution inayotoa mkopo wa gari jipya bila collateral
Hilo Jiji kuitwa bongo usifikiri walioita ni wajinga,save you own money ili kitu kisumame chenyeweKwanini niite binadamu mwenzangu mbwa? Nimeshapata mtu tayari hapa hapa. Wewe ni Hannah a beautiful girl name. I respect women