Nina shida na mfumo wangu wa fahamu au ugonjwa wa akili

kuntumbyanga

Member
Joined
Sep 18, 2022
Posts
12
Reaction score
13
Habari zenu wakuu,

samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.

Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.

shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.

hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.

hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.

naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.

natanguliza shukrani,

Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.
 
punguza kinywaji na km uliwahi pata ajali na kupasuka kichwa inasababisha sana hiyo hali.
Mi mwenyewe tunaweza kuongea na badae nimesahau nikakuuliza hivi tulikua tunaongea nini ukashangaa.
Nilibondeka kwenye medula oblangata ajalini so usahaulifu kwangu kawaida tu.
Utazoea baada ya muda tu,mi mpk sasa nikiona mambo mengi sielewi najikata tu.
Tutaonana baadae.
 
Una changamoto nyingine tofauti? Nauliza hili kwa sababu hali hiyo inaweza kuwa matokeo ya jambo lingine awali.

Hiyo inaweza kuwa auditory processing issue. Kwa sababu kama kusoma vema na unaelewa kile unachokisoma, basi ni swala la uchakataji wa kile unachokisikia.

Unapaswa kwenda kwa mtaalam wa magonjwa ya afya ya akili. Kwa sababu ya dhana potofu juu ya Hospital ya Mirembe Dodoma, basi nenda MNH. Huko utapata Psychiatrist mbobevu na watakusaidia.
 
Nenda kwenye hospitali zenye wabobevu wa masuala ya akili watajua cha kukusaidia
 
Habari zenu wakuu,

samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.

Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.

shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.

hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.

hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.

naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.

natanguliza shukrani,

Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.
Ni kwamba una tatizo la ADD. Yaani attention deficit disorder..

Yaani unakosa umakini wa kusikiliza ila huwa unamsikia mtu anachoongea ila kumakinika ni tatizo.

Cha kufanya tafuta mtu awe anakusimulia stori fupi kama ya dakika 1 hivi uwe unamsikikiza kisha baadae wewe umuambie nini amesema na umeelewaje stori hiyo.

Fanya hivyo kwa kadri ya siku zinavyozidi kwenda awe anaongeza dakika kwenda 4,10,15,20 mpaka dakika 50 n. K

Ukishafikia hizo level ndio utakuwa na uwezo wa kusikiliza vyema hata kwenye vikao vya ofisi...

Je huwa unatumia tiktok au insta au hautumii?
 
Itakuwa una ADHD wew.. yan unakosa uwezo wq kukocenrtate. Na vip hali ya usingiz ikoje
 
Habari zenu wakuu,

samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.

Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.

shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.

hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.

hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.

naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.

natanguliza shukrani,

Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.
Mkuu unaweza weka historia yako kidogo yaani uliwahi kupata ajali,mtu wa mazoezi ya karati au mafunzo ya ngumi. Pia ulipitia kuanguka na kuumiza kuchwa au shingo na uti wa mgongo?. Kuna historia yoyote ya kumuonea mtu mtaani,Shule,Ofisini au kwenye mapenzi?. Jee kwenye lishe upo vizuri kula vyakula vya afya na matunda?.

Uhusiano wako na wazazi wako upoje vipi kuhusu muda wa kulala unapata kiwango kizuri?.
 
Una changamoto nyingine tofauti? Nauliza hili kwa sababu hali hiyo inaweza kuwa matokeo ya jambo lingine awali.

Hiyo inaweza kuwa auditory processing issue. Kwa sababu kama kusoma vema na unaelewa kile unachokisoma, basi ni swala la uchakataji wa kile unachokisikia.

Unapaswa kwenda kwa mtaalam wa magonjwa ya afya ya akili. Kwa sababu ya dhana potofu juu ya Hospital ya Mirembe Dodoma, basi nenda MNH. Huko utapata Psychiatrist mbobevu na watakusaidia.
Naweza nikakuona pm kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom