kuntumbyanga
Member
- Sep 18, 2022
- 12
- 13
Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.
shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.
hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.
hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.
naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.
natanguliza shukrani,
Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.