kuntumbyanga
Member
- Sep 18, 2022
- 12
- 13
ndio namsikia vizuriVip kwenye kumsikia muongeaji una msikia vizuri anachokiongea?
Basi itakuwa kweli suala la akili hapo kaonane na watu wa saikolojia wakusaidiendio namsikia vizuri
Ni kwamba una tatizo la ADD. Yaani attention deficit disorder..Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.
shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.
hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.
hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.
naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.
natanguliza shukrani,
Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.
JF bana dah! πππNa hzi comments unazielewa kweli au ndo tunakuchangany...!!
Mkuu unaweza weka historia yako kidogo yaani uliwahi kupata ajali,mtu wa mazoezi ya karati au mafunzo ya ngumi. Pia ulipitia kuanguka na kuumiza kuchwa au shingo na uti wa mgongo?. Kuna historia yoyote ya kumuonea mtu mtaani,Shule,Ofisini au kwenye mapenzi?. Jee kwenye lishe upo vizuri kula vyakula vya afya na matunda?.Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili.
shida yenyewe Iko hivi, ndugu zangu mim naweza nikamsikiliza mtu akaongea labda Kwa sekunde kadhaa ila ninashindwa kuunganisha anachokiongea ili kupata maana kamili ya nini anachokiongea Kwa wakati huo na badala yake huaga naelewa neno Moja Moja analoongea.
hili linanifanya mwisho nisielewe kabisa mada yake ilikuwa inahusu nini mara nyingi.
hii Hali inanipa shida saana hasa niwapo kazini, najikuta naweza kwenda kwenye mkutano au kikao na nisielewe kabisa mtu flani kwenye kikao alikuwa anazungumzia Nini.
naomba mnisaidie kumpata mtaalam wa haya masuala, ili niweze kutibia hii Hali kabla sijaharibu mambo mengine.
natanguliza shukrani,
Kwa Ambae hajaelewa Niko tayari kutoa maelezo zaidi.
Naweza nikakuona pm kidogo mkuuUna changamoto nyingine tofauti? Nauliza hili kwa sababu hali hiyo inaweza kuwa matokeo ya jambo lingine awali.
Hiyo inaweza kuwa auditory processing issue. Kwa sababu kama kusoma vema na unaelewa kile unachokisoma, basi ni swala la uchakataji wa kile unachokisikia.
Unapaswa kwenda kwa mtaalam wa magonjwa ya afya ya akili. Kwa sababu ya dhana potofu juu ya Hospital ya Mirembe Dodoma, basi nenda MNH. Huko utapata Psychiatrist mbobevu na watakusaidia.