Nina shida ya kuchubuka mdomo, nimeacha pombe lakini sioni mabadiliko

Itakuwa una undugu na azizi ki.
Umeshajaribu kwenda kwa wataalam wa afya ya kinywa?

Ila kama ni mlambaji jitafakari.
 
Wakuu, lips zimeungua watu wanasema ni pombe kali lakini nimeacha bado hali iko hivi.

Najiuliza mbona kama pombe kali wengi wanakunywa na hawaungui ivi
Umeacha pombe kali muda gani sasa na ulishakunywa kwa muda gani? Mwili unapona taratibu, jipe muda kurecover. Hongera kwa maamuzi ya kujinufaisha wewe binafsi.
 
Wakuu, lips zimeungua watu wanasema ni pombe kali lakini nimeacha bado hali iko hivi.

Najiuliza mbona kama pombe kali wengi wanakunywa na hawaungui ivi
Una Upungufu wa Vitamin na madini mwilini mwako kamuone Daktari usipopona nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…