Nina shida ya kuchubuka mdomo, nimeacha pombe lakini sioni mabadiliko

Nina shida ya kuchubuka mdomo, nimeacha pombe lakini sioni mabadiliko

kweli kabisa wanywa pombe kali nao ni waarhirika
Ila mkuu jaribu kufatilia kuhusu allergy (mzuio)

Maana I remember Mimi nimewahi kupitia hali Kama hii baada ya kuwa natumia aina fulani ya vyakula .

Kipindi nasoma secondary :

Tuendelee pia kuangalia njia mbali mbali ili hatimaye tupate suluhisho la tatizo lako.
 
midomo ilikua inaungua au inakua miekundu
 
Ukinywa pombe Kali haswa gongo kwenye glass taratibu na lips lazima ubabuke
Pombe Kali unaweka kwenye tot unameza chap kama yai bichi
 
Kama unahisi sio pombe fuatilia tumbo lako. Maana acid reflux inaweza sababisha kuungua meno mpk lips
 
Kanunue vidonge vya vitamin C,[ Ascobic Acid] kwenye duka lolote la dawa baridi utapona hivyo vidonda na michubuko kwa haraka zaidi.
Kuhusu hiyo Rangi nyekundu punguza pombe kali na sigara
 
Back
Top Bottom