Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #41
sina michubuko ni midomo tu imekua miekunduKanunue vidonge vya vitamin C,[ Ascobic Acid] kwenye duka lolote la dawa baridi utapona hivyo vidonda na michubuko kwa haraka zaidi.
Kuhusu hiyo Rangi nyekundu punguza pombe kali na sigara