Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Milioni mbili za Dola ya Zimbabwe au dola ya US?
Kwa vile sijatajwa, ngoja niuchune. Ukipata za nyongeza unilipe ile buku 3 nnayokudai1
wakikupa best unikumbuke kwenye ufalme wako :mwaaah:
Mr billion nataka Tsh.....
Okay hebu toa basi walau matumizi yako yatakuwaje...si unajua kiendacho kwa mganga
mtumizi ya mkopo au?
yap. na akaunti zote yeye ndio anazihold na kila kitu nimeandikisha kwa jina lake.xo mambo ya fund rising ongeeni naeNdo ana ATM card au?????
Ndo ana ATM card au?????