Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bukoba kwenda na kurudi nauli tu ni 160,000/= ukiweka na chakula cha njiani basi hiyo 200k ni nauli ya kwenda na kurudi labda upande bajaji. Assumption ni kuwa uko Dar.Ndugu zangu,
Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?
Matarajio yangu ni haya.
1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.
2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.
3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.
Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Mkuu kwa bukoba nakushauri usiende bukoba mjini nenda mtukula boda la uganda utainjoy sana...lkn km unataka kushangaa mazingira na kula samaki kwa wingi nenda mwanzaNdugu zangu,
Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?
Matarajio yangu ni haya.
1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.
2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.
3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.
Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Hahahaahaha haya, si utawakuta Huku Huku?Umetisha mkuu. Kitulo pamenivutia sana. Ila naona kama patapendeza zaidi nikija na kampani fulani hivi.
nenda mbagalaNdugu zangu,
Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?
Matarajio yangu ni haya.
1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.
2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.
3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.
Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Nenda Kisarawe anzia Pugu hills hadi Minaki na huko Pond.Kuna camping sites utalala hemani.Ndugu zangu,
Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?
Matarajio yangu ni haya.
1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.
2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.
3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.
Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Labda tembelea ofisi za CCM lumumba ukashangae shangae mafisadi yaliyo vaa nguo za kijani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nenda mbagala
Ataomba tumchangie nauli ya kurudi [emoji1787]Laki mbili ukakae kwenye mji wa watu wiki nzima ? Utakua unalala stendi na kula kwa mama ntilie.?
[emoji3][emoji3]Labda tembelea ofisi za CCM lumumba ukashangae shangae mafisadi yaliyo vaa nguo za kijani
Nimeipenda hii. Wanachaji kiasi gani kulala hemani?Nenda Kisarawe anzia Pugu hills hadi Minaki na huko Pond.Kuna camping sites utalala hemani.