Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

Ndugu zangu,

Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?

Matarajio yangu ni haya.

1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.

2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.

3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.

Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Buza labda...
 
Saba saba maonesho
 
Nenda Bagamoyo, kila ulichosema kipo, mji mdogo, wakazi wenye maisha ya kawaida, mandhari nzuri, historia, ufukwe, chakula bei rahisi na hoteli tulivu za gharama za kawaida, halafu ni nje tu ya jiji
 
Ndugu zangu,

Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?

Matarajio yangu ni haya.

1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze akili kidogo.

2. Vyakula viwe vizuri ila visivyo na gharama sana. Nyama au samaki pamoja na matunda viwepo kwa wingi.

3. Malazi yawe safi na salama ila ya gharama za kawaida. Ningependa kukaa lodge safi.

Vipaumbele vyangu ni sehemu moja kati ya Iringa, Mbeya, Bukoba na Mwanza ingawa niko tayari kupafikiria na pengine.
Nenda Chato katalii kwenye "intaneshino eyapoti" bila kusahau kwenye kaburi
 
Boss iyoo pesa inatosha japo ongezea 50000 kikubwa gharama punguza kwenye malazi tafuta affordable logde za 15 nenda bagamoyo khaaa siku mbili nenda pangani kuna mbuga nzuri kule kaa siku mbili izi sehemu haitazidi 120000 Kwa matumizi utakula utakunywa Kwa kiasi lkin alafu Rudi ulipotoka
 
Sikia mchizi wangu, njoo huku porini kwangu, tutalala kwenue kibanda changubcha nyasi, nina kitanda cha kamba cha ziada hicho utatumia (sijakitumia muda mreeefu kama kitazingua, nitalala kwenye mkeka we utalala kwenye tendegu langu) hiyo laki 2 tununua viroba vya unga, mchele na mafuta, maharagwe nakadhalika, hapa utakaa zaidi ya muda wako, mimi ndio nitakuwa tua gaida wako, nakuzungusha kijijini kote na mademu wa huku wakiona mgeni wa mjini hawamnyimi.

Karibu sana mzee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee mwenzangu umetisha sana.
 
Mzee mwenzangu naua winga, mgeni njoo mwenyeji apone, mwaka huu mvua hakuna shambani kwetu huku mazao yamegoma.
😂🤣

Back
Top Bottom