Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

Buza labda...
 
Saba saba maonesho
 
Nenda Bagamoyo, kila ulichosema kipo, mji mdogo, wakazi wenye maisha ya kawaida, mandhari nzuri, historia, ufukwe, chakula bei rahisi na hoteli tulivu za gharama za kawaida, halafu ni nje tu ya jiji
 
Nenda Chato katalii kwenye "intaneshino eyapoti" bila kusahau kwenye kaburi
 
Boss iyoo pesa inatosha japo ongezea 50000 kikubwa gharama punguza kwenye malazi tafuta affordable logde za 15 nenda bagamoyo khaaa siku mbili nenda pangani kuna mbuga nzuri kule kaa siku mbili izi sehemu haitazidi 120000 Kwa matumizi utakula utakunywa Kwa kiasi lkin alafu Rudi ulipotoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee mwenzangu umetisha sana.
 
Mzee mwenzangu naua winga, mgeni njoo mwenyeji apone, mwaka huu mvua hakuna shambani kwetu huku mazao yamegoma.
😂🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee mwenzangu umetisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…