Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kabla ya kuacha kazi ulitakiwa kujua unataka kufanya nini au kuomba ushauri kabla ya kuacha kazi. Usipoangalia hela yote utaila kabla hata hujapata hilo wazo unless kama nimekuelewa vibaya!!Wakuu kulingana na serikali ya Tanzania kutokuwajali wafanyakazi wake nimeamua niache kazi nifanye biashara, sasa nina kiasi tajwa hapo juu nianze na biashara gani nzuri ushauri wako plzz.
Njoo malinyi ununue mpunga kwa 42000 kwa gunia bei ikipanda unauza gunia kwa 80000 mpaka 90000
You're not serious. Nipatie mchanganuo wa jinsi kuku 200 wanavyoweza kukupa faida hiyo (baada ya kutoa gharama za uendeshaji) nianze biashara hiyo mara moja.kama upo town ufugaji wa kuku wa mayai unalipa sana tu....ukiwa na kuku wa mayai around 200 utatengeneza net profit not less than kilo saba mpaka saba na nusu kwa mwezi...
Hakika. Malinyi, mtimbira na Lupiro ni Kwa ukweli.Njoo malinyi ununue mpunga kwa 42000 kwa gunia bei ikipanda unauza gunia kwa 80000 mpaka 90000
Njoo malinyi ununue mpunga kwa 42000 kwa gunia bei ikipanda unauza gunia kwa 80000 mpaka 90000
Hakika. Malinyi, mtimbira na Lupiro ni Kwa ukweli.