Nina siku 4 tangu niende kwa Malaya

Nina siku 4 tangu niende kwa Malaya

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Wanajamvi habarini,

Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu.

Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
 
Wanajamvi habarini, juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
Mzee mwenzangu najua unalopitia kama story ni kweli 🥲🥲
 
Duh mkuu wanawake mtaani hakuna hadi ukalale na mwanamke wa kila mtu. Duh, mm sijui nikoje aisee hao naona kinyaa kabisa as longa as najua anajiuza sio salama kwa a
Matumizi sina hakika labda sababu mm mzee wa pekupeku
Kwaiyo ndugu unadhani hao wa kitaani ni wa kwako peke yako? Ni bora ujue kuwa huyu ni malaya ili upige kimalayamalaya[emoji41]
 
Mkuu wahi pharmacy ulizia kuna dawa inaitwa P2 meza za kutosha sijui inafanya nini wewe waelezee tatizo lako wakupe.... nasikia wajanja wa mjini wanamezaga wakitoka kuuza mechi[emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom