Hata mimi hapo awali sikulifahamu hili,.lakini sasa nafanya hivyo na kuongeza upande wa limao wakati wa asubuhi...
Hiyo picha uliyoweka umeitoa wapi,au ni wewe?Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.
Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.
Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah,.nakamulia maji ya limao kidogo,.inasaidia kupunguza mafuta tumboni,kuzuia uvimbe na mambo mengine mazuri mazuriUnatia kwenye maji? What’s the benefit?
Yeah,.nakamulia maji ya limao kidogo,.inasaidia kupunguza mafuta tumboni,kuzuia uvimbe na mambo mengine mazuri mazuri
😉😉Okay mie tizi kwa sana linatosha kupambana na hayo ila si mbaya pia.
Ataharisha ale mapapai tu.Nunua Castor oil.. Then kunywa kifuniko kimoja asubuhi na jioni tatizo litakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
sana kunywa juice ya UKWAJU GLASS 2 -3 UTAOAYA CHOO.Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.
Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.
Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhara kunako sababishwa na hayo mafuta siyo kabisaaaa
AiseeeUnatakiwa kuchokonolewa huko nyuma inawezekana kuna kitu kimeziba.!
Unatia kwenye maji? What’s the benefit?
Yeah,.nakamulia maji ya limao kidogo,.inasaidia kupunguza mafuta tumboni,kuzuia uvimbe na mambo mengine mazuri mazuri
Kwahyo una kitambi cha mavi mkuu, anyway wataalam wanaendelea kuja.Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.
Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.
Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii castor oil haina madhara?? Niliinunua nikaitumia wakt nilipokuwa na hali kama ya jamaa kuhara kwake sio mchezo mzee, ndan ya dk 15 tu unaanza kukitafuta choo, je haina madhara?? Yaan haiwezi ikaleta utegemezi?? Addicted.Nunua Castor oil.. Then kunywa kifuniko kimoja asubuhi na jioni tatizo litakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa experience mkuuAisee fanya upate hicho choo,
kikizidi kujikusanya huko halafu kisitoke utalia kilio cha aina zote.....halafu ukifika hiyo stage ukienda hospitali kuna dawa watakuwekea huko nyuma, usiombe ufike hiyo hatua....ina fedhehesha sana.
Huyu ni ndugai kabisaUnatakiwa kuchokonolewa huko nyuma inawezekana kuna kitu kimeziba.!