Nina siku ya nne sijaenda haja kubwa

Nina siku ya nne sijaenda haja kubwa

Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.

Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.

Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.

Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.

Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.

Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.

Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.

Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku

Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha uliyoweka umeitoa wapi,au ni wewe?

sana kunywa juice ya UKWAJU GLASS 2 -3 UTAOAYA CHOO.
USHAURI:
1.PUNGUZA KULA MICHAPATI
2.ONGEZA ULAJI WA MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA
3.ONGEZA UNYWAJI WA MAJI
 
Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.

Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.

Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.

Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.

Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.

Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.

Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.

Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku

Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo una kitambi cha mavi mkuu, anyway wataalam wanaendelea kuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua Castor oil.. Then kunywa kifuniko kimoja asubuhi na jioni tatizo litakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii castor oil haina madhara?? Niliinunua nikaitumia wakt nilipokuwa na hali kama ya jamaa kuhara kwake sio mchezo mzee, ndan ya dk 15 tu unaanza kukitafuta choo, je haina madhara?? Yaan haiwezi ikaleta utegemezi?? Addicted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom