Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
umeziba Waite watu wakuzibueWatalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.
Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.
Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Enema [emoji16]Aisee fanya upate hicho choo,
kikizidi kujikusanya huko halafu kisitoke utalia kilio cha aina zote.....halafu ukifika hiyo stage ukienda hospitali kuna dawa watakuwekea huko nyuma, usiombe ufike hiyo hatua....ina fedhehesha sana.
Umri wako ?Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.