Nina siku ya nne sijaenda haja kubwa

Nina siku ya nne sijaenda haja kubwa

unakuta mtu anakula chapati asubuhi, mchana ugali, usiku wali na ml 500 za maji kwa siku afu utegemee maajabu ya kupata choo kizembe namna hiyo, me naonaga mtu anaekosaga choo pasi na kuumwa chochote ni uzembe.
mkuu vp hali yako kwa sasa bado ngoma ngumu au??
kula matunda, vegetables na maji mengi na karanga mbichi ukipenda
 
Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Mimi nimeoa ila my wife yuko mkoa mwingine kikazi na Mimi niko mkoa mwingine kikazi, so niko sawa sawa na bachala hivi.
Cha ajabu ninapoenda kwa my wife choo kwa siku huwa napata mara mbili tena cha maana kweli kweli.
Sasa ninaporudi geto geto choo kubwa inakuwa taabu kuipata kwa wakati.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
umeziba Waite watu wakuzibue
 
Umri wako ?

Nenda Ocean Road ukafanye kipimo cha fecal occult blood.Huenda una saratani ya utumbo mpana
 
Back
Top Bottom