Nina simu, ila sipendi watu wanipigie tuongee. Hii tabia ninayo pekee yangu tu?

Mm nAongea ila sio simu zote ,,! Mtu mnakuta hamna connection yoyote ila, pengine kuna mission mliifanya ama business ambayo haina muendelezo ,,,,, au mliuziana kitu n.k anachukua namba yako, from no where anapiga piga simu anasalimia, mara mnaendeleaje huko? Kuna baridi au mvua ? Mara vp maendeleo??

Yani unakuta hakuna kitu cha kuwaconnect tena muwe close, yeye kila mda haipoti siku 3 anapiga kusalimia ,,,, huyo nam-mute sipokei simu zake
 
Si useme tu kwamba unashida yakutokusikia vizuri ieleweke mkuu . Tinnitus ni janga kubwa linawakumba wengi sana usiogope hauko pekee ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…