Roho mbaya hiyo..Upande wa sms napenda mtu aende moja kwa moja kwenye point badala ya salamu kibao
Upo sahihi.Mimi nikipigiwa simu napenda mpigaji atumie maneno machache/straight to the points and short.Ukizidisha dakika moja nakuwa ghafla sikusikii tu.Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Si wewe tu mkuu. Ni watu wengi sana.Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Hali hiyo huwa inakuja pindi ukiwa na madeni mengi usioweza kuyalipa. Wewe una madeni mengi ambayo yamekushinda kulipaSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Namba ngeni halafu anaishia kùsema tuUpande wa sms napenda mtu aende moja kwa moja kwenye point badala ya salamu kibao
Utoto wa mama unakusumbuaMi nikisikia vibration 📳 ya call natukana kwanza kimoyomoyo afu ndo naaangalia nani kapiga.
Namba mpya sipokei hata upige mara 100, jitambulishe kwanza kwa sms
Sasa preference zangu na utoto wa mama vinakujaje hapo, nyie ndo wale mkinunua bundle mnahakikisha mpaka dakika zimeisha kabla bundle halijaexpire mnaanza kusumbua watu.Utoto wa mama unakusumbua
Mtu mzima mpambanaji na mzalendo hana hizo preference za kitoto na kisistaduu.Sasa preference zangu na utoto wa mama vinakujaje hapo, nyie ndo wale mkinunua bundle mnahakikisha mpaka dakika zimeisha kabla bundle halijaexpire mnaanza kusumbua watu.
Kama ninachokiongelea kinakugusa we ndo wale wa mizinga unaona hii hali na rafiki zako wangekuwa nayo utakufa njaa
😅😅😅 poleeHata me sipendi, nina kigugumizi, ha ha haba habari.
Upambanaji haufanani dogo, upambanaji wangu nje ya kazini hauhitaji interaction na mtu yeyote, ni PC, simu na WiFi basi Kodi ya meza lazima ipatikane we kama dalali pambanaMtu mzima mpambanaji na mzalendo hana hizo preference za kitoto na kisistaduu.
Wanakukera nini 😂😂😂Kiukweli simu za wakwe zinaboa namwambiaga wife awe anawasalimia tu yeye inatosha