Nina simu, ila sipendi watu wanipigie tuongee. Hii tabia ninayo pekee yangu tu?

Nina simu, ila sipendi watu wanipigie tuongee. Hii tabia ninayo pekee yangu tu?

Story.2011
Mimi: Mambo.
Yeye: poa.
Mimi: Naomba nikuombe Jambo.
Yeye:Go street to the point
Mimi : Nakutaka
Yeye: Sa ndo Kutongoza Gani uko
Mimi: Nimeenda Street to the point
Yeye: I can't
Note: Mpaka sasa yupo tu ila Mimi nimeoa na Nina Watoto 2.
Mwenyezi Mungu amenijaria kupata mtoto wa pili mwaka Jana,
Tunakutana kanisani, anashindwa hata kunisalimia, Maisha yanasonga
 
mimi hata status Whatsapp siangalii, profile picture ni kile kivuli yaani nakikubali kinyama.

Sipendi mtu anipigie kisa salamu tu,

kuna fala alituna text ananisalimia mi nikakausha, alivyoona kimya akanipigia nikapokea halafu akasema alikuwa ananisalimia tu aisee nilikasirika kinyama.

Wanao nikera zaidi ni wale unaongea nae halafu analeta habari fulani nikonae hapa ngoja nimpe simu uongee nae.
 
Back
Top Bottom