Sipendi mtu anitumie msg kwa herufi kubwa naona kama mkorofiTEXT NZURI SIMU KUNA MUDA ZINASHTUA SANA HASA KAMA UNA MGONJWA AU MADENI
Mzee mwinyimkuu mbona unaongea nae🤣🤣🤣Sio peke yako mkuu mimi pia kuongea na simu kidogo changamoto
Your problem are yours,should not cross to other.Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Maokoto mkubwa 😂Mzee mwinyimkuu mbona unaongea nae🤣🤣🤣
Kumbe tuko wengi mkuuSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Kwa wewe ni kweli kabisa sikatai...Utu uzima na kelele haviendani.....
Sipendi kupigiwa pigiwa simu.
Uko kama mimi. Huwa najiunga dakika 400 kwa mwezi na haziishi. Sipigii simu mtu hadi niwe na shida nayeSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Ukiwa na madeni halafu unapigiwa na namba ngeniHasa ukiwa na madeni
Si wewe pekeeSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582