Pole Sana mkuu...
1. Kwanza JITOE UFAHAMAU kana kwamba una tatizo kubwa Sasa....God will make ways for u......
2. Huyo Dada yuko tayari kulea na wewe that's why Hata kajipanga kwa vitu vichache hivo alivonunua....she is read for ..and nakushauri don't leave her...coz time kipindi mnakula utamuu hamkutumia kinga ( na mlijua kuwa kitu km hiki kinaweza kutokea)
3. Nashauri usiuze kiwanja kwa ajili ya kodi ya chumba kimoja na kulea mtoto, ni ngumu Sana kuafford kiwanja kwa muda huo utakaokuwa upo tayari kujenga( Ardhi inapanda bei kila kukicha)
tafuta namna ingine ya kulia kodi huwezi kosa ( believe u can do it)
4. Tafuta kampani ya marafiki wenye mitazamo chanya , watakushauri zaidi na kukupa njia za kutatua tatizo lako....epuka kunywa Sana pombe...utajiletea matatizo zaidi....
5. kuwa bize na shughuli zako za kawaida , jipe muda wa kupumzika zaidi, Fanya ishu ambazo uko interested nazo ukiwa na kamapan yako like...going for a walk, sports, watching movies, n.k...
6. believe in God , he can make a way for you....
- usitekeleze damu yako
-stay strong as man...
Mwisho;
Though u face problems, smile and face them because life has to continue..