Nina Stress, Nishauri cha kufanya

Nina Stress, Nishauri cha kufanya

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Nina miaka 29 sasa. Bado nimepanga.. Mchumba kapata ujauzito bila kutarajia. Anapanga aje dsm.. Nadaiwa kodi.. Kiwanja nimenunua lakn hata tofal sjaweka. Wadada niliokuwa nao wanajua nitawaoa. Hawajui kama nimempatia mtu ujauzito tayari. Ila huyu niliempatia ujauzito nashangaa mwanzo aliniambia baby akizaliwa siwez kumuona mpk nitoe mahari. Lakn sasa kawa mpole. Alikataa mwenyewe kutumia kinga. Sasa sijui alinitegeshea ujauzito. Nashangaa mimba miez3 lakn keshaenda kununua nepi,viatu n.k...nimuache? Anaumiza akil yangu. . Napatwa na stress. Nakosa ham ya kula. Natumia pombe. Nifanyeje mimi.
 
Achana naye mtoto sio sababu ya kumuoa mtu, ukimzalisha mtu ni wajibu kutoa hela ya matunzo tu ndoa funga na yule ambaye ni chaguo lako
 
Alikutegeshea ili umuoe.

Kama hajui unapoishi, badili namba ya simu then ukae kimya kama unatafutwa na polisi vile kwa kosa la kumnyang'anya POLISI silaha, kuua, kujeruhi na kutokomeaa msituni.
 
Usiuze kiwanja hutokuja kupata kwa urahis tena, ishi na huyo bint huku unapambana na maisha hakuna Mungu Ni WA ajabu na utashangaa mambo yatakuwa mepes sana

Mungu ni wa ajabu kweli...imagine unamwaga vinanihii vyeupe kwa mwanamke halafu miezi tisa baadaye anatokea mtoto! #ajabu

Mtoa mada anataka kumuoa huyu binti? (maana hajatanabaisha kama alikuwa mmojawapo wa waliokuwa wanawaza kuolewa naye.)

Je, mtoa mada ana other sources of income? Maana kuamua kuishi na binti ni jambo moja...kumtunza is another. (binti naye je, ana walau kazi ya kumuingizia kipato?)

By the way, nahisi kama nikiandika hapa nitakuongezea stress...kama hujafikia level ya kupata depression then jilazimishe ku face your situation positively. there is always a way (nimemnukuu mdau hapo juu kwa kejeli but we all know Mungu ni wa Ajabu kweli...mrudie umuombe atakuongoza katika hilo)

Kama umeanza kupata dalili za depression...anza kujitibu kwanza kabla hujatibu matatizo yaliyokukuta. get help ASAP! relax as if matatizo hayapo...face them one at a time...
 
please kaa mbali na sumu...usivae mkanda tena na uliyonayo uza...usije ukaji-mkwawa
 
Pombe achana nayo utazidi kujichanganya kwasababu kila itakapotoka tatizo bado liko palepale haliepukiki
 
Ulikula ya mbuzi! Unaogopa kuota pembe? Dume zima unasema alikataa mwenyewe Condom kweli? WHAT MAKES U A MAN THEN? Sikuzote unapopanda mazao tegemea kuvuna kile unachopanda! Vuta ganja na Double panch za malawi zinasaidiaga kutoa stress.
 
.nina kazi serikalini. Lakn mshahara kama mdogo.
 
Pole Sana mkuu...
1. Kwanza JITOE UFAHAMAU kana kwamba una tatizo kubwa Sasa....God will make ways for u......
2. Huyo Dada yuko tayari kulea na wewe that's why Hata kajipanga kwa vitu vichache hivo alivonunua....she is read for ..and nakushauri don't leave her...coz time kipindi mnakula utamuu hamkutumia kinga ( na mlijua kuwa kitu km hiki kinaweza kutokea)

3. Nashauri usiuze kiwanja kwa ajili ya kodi ya chumba kimoja na kulea mtoto, ni ngumu Sana kuafford kiwanja kwa muda huo utakaokuwa upo tayari kujenga( Ardhi inapanda bei kila kukicha)
tafuta namna ingine ya kulia kodi huwezi kosa ( believe u can do it)
4. Tafuta kampani ya marafiki wenye mitazamo chanya , watakushauri zaidi na kukupa njia za kutatua tatizo lako....epuka kunywa Sana pombe...utajiletea matatizo zaidi....

5. kuwa bize na shughuli zako za kawaida , jipe muda wa kupumzika zaidi, Fanya ishu ambazo uko interested nazo ukiwa na kamapan yako like...going for a walk, sports, watching movies, n.k...
6. believe in God , he can make a way for you....
- usitekeleze damu yako
-stay strong as man...

Mwisho;
Though u face problems, smile and face them because life has to continue..
 
haina gani ya pombe unayotumia?..ukiwa unakunywa jitahidi kupiga na nyama choma au kitimoto{kama ni mgalatia}
 
Back
Top Bottom