Richard lugusi
Member
- Jan 15, 2015
- 67
- 8
ndg wanajamv naomba kuulza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?msaada jaman wa kimawazo
Usipoteze nauli yako bure
Mimi mbona tayari nipo huku mbekenyela nimepokelewa?
Ulitumia chet gan?
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?
Msaada jamani wa kimawazo!

mi nimepangwa bwafumba sec buhigwe district ambako nasikia ni mpakani na Burundi na wakimbizi washaanza kuingia kigoma sasa huko si balaa yaani mpaka naogopa kwenda