Nina supp diploma na jina limo ajira mpya, nikaripoti?

Nina supp diploma na jina limo ajira mpya, nikaripoti?

Joined
Jan 15, 2015
Posts
67
Reaction score
8
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?

Msaada jamani wa kimawazo!
 
ndg wanajamv naomba kuulza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?msaada jaman wa kimawazo

Nenda karipoti ndo utaratibu ulowekwa uta clear ukiwa kazini....
 
nenda karipot ustishwe mengneyo utapata maelekezo hukohuko vp umepangiwa wap bwn rich? David minene
 
Last edited by a moderator:
ww umepata kazi alafu unaanza uliza ushauri kwamba ukaripot au laaaa...waliokupa ajila hawakuona kama una sap...
 
Ukifika halmashauri lazima uwe na vyeti hapo ndo itafahamika
 
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?

Msaada jamani wa kimawazo!

Nenda wewe acha woga
 
mi nimepangwa bwafumba sec buhigwe district ambako nasikia ni mpakani na Burundi na wakimbizi washaanza kuingia kigoma sasa huko si balaa yaani mpaka naogopa kwenda
 
Nenda wewe......nenda na vyeti vyote ulivo navyo.....hata ikitokea Halmashaur wakakuwekea kikwazo..but utakuwa umehesabika umefika kituoni.....
NENDA,ACHA KUCKIA MANENO YA WASIO KUTAKIA MEMA...WAOGA WA MAISHA...
THANKS.
 
mi nimepangwa bwafumba sec buhigwe district ambako nasikia ni mpakani na Burundi na wakimbizi washaanza kuingia kigoma sasa huko si balaa yaani mpaka naogopa kwenda

kafanyekaz we,juzi ci mlikuwa mnaomba mpangiwe vituo,Leo unaogopa wakimbiz badala ya wakimbiz kukuogopa wewe
 
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza katka ajira mpya hii hata sisi tuliopata supp tumo kwenye list ya majina mapya je tufanyeje tukaripot na sisi na je hatutakutana na vikwazo hko halmshaur?

Msaada jamani wa kimawazo!

Nakushauli ninachojua nishaona
chukua barua ya kupangiwa kituo, vyet vyote nenda kalipot watakupokea usiwe na shaka kwan hata walio kazin mafile yao huwa wanapoteza vivuli vya veti na wanaombwa tena,
kuna jamaa yangu ameajiliwa decemba na vyet vilikua havijatoka.
Kinachomata ni barua ya kupangiwa kituo mengine badae

nadhan umeelewa!
 
Back
Top Bottom