Nina swali kuhusu Elimu ya Secondari ya miaka miwili, nisaidieni majibu

Naomba kufahamu shule hio, ipo mkoa gani?
 
Asante, Mwanza sehemu gani inapatikana, na inaitwaje shule yenyewe?
Inaitwa Mwanza Expert, ipo wilaya ya Nyamagana, imepakana na ofisi za jiji kwa umbali wa mita 100 hivi pia Imetazamana na Shule ya kanisa katoriki inaitwa Nyakahoja.
 
Umeelezea vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…