Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

Mkuu sasa mtu akikohoa inachomoka au akijitikisa akae vzuri tu inatoka. Unataka kusema sina kibamia? Hizo dawa zakuongeza zipo? Nataka niongeze mkuyenge mkuu,sitaki aibu tena mimi.
Unaenda kujimaliza!
 
Mkuu sasa mtu akikohoa inachomoka au akijitikisa akae vzuri tu inatoka. Unataka kusema sina kibamia? Hizo dawa zakuongeza zipo? Nataka niongeze mkuyenge mkuu,sitaki aibu tena mimi.
😂😂😂Hapa umeamua kuchangamsha Genge amini kwamba huna kibamia tafta tape measure upime yani mkunyenge uwe umesimama usifike inchi 6 emu acha masihara
 
Kinyonge sana babu!.. lakini ni vyema unaweza kuliko kutokuweza kabisa!, usiliweke hilo kichwani litakutafuna!
Sasa hata ukimaliza demu unaona kabisa huyu hajaridhika na mkuyenge wangu. Ukivua tu unamuona kama anakamshtuko hivi. Akishika mkononi ni haijai, akiweka mdomoni anameza mpaka kwenye shina lake. Haloooo, haya mateso mkuu tena ya kisaikolojia. Namimi nataka demu awe anakimbiakimbia kwenye kona za kitanda bhna na siyo nayasikia tu.
 
Fanya utafiti kwanza ujue na side effects ili ujue utakabiliana vipi..
 
Wanawake ni wavivu kunako, style za namna hiyo zinawashughukisha, wengi hudai wanaumia miguu. Hawaez piga magot au kuinama kwa muda mrefu.
 
Hapana mkuu, tatizo lipo.
Na hapo unapozidi kusema hivi ndo unazidi kulikuza kisaikolojia!, ubongo wa binadamu ukisikiasikia kitu mara nyingi huunda ukweli hata kama hicho kitu sio ukweli!.
 
Hehe! Usimcheke lakini huenda akawanalo hilo tatizo lakini akawa analikuza sana!
Binafsi mwenyewe huwa naona kama mkunyenge wangu mdogo baada ya kuangalia filamu za Warumi😂ila nipo na inches 6.8 huko kuelekea 7 ko mleta maada aachane na kujilinganisha na majamaa yale macheza porno
 
Back
Top Bottom