Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

Style yoyote ambayo inaleta relaxation ni enjoyable kwa KE sababu relaxation ni factor mojawapo ya kurelease hormone ya Oxytocin.

Kwahiyo hapa mleta mada jibu haliwezi kuwa moja.
Exactly 💯
Though ni kweli more than 60% hii hatuipebdi, inaumiza . Wengine huwa hawasemi sbb wanataka kuwaridhisha watu wao...

Labda ukutane na anaejua foreplay haswaaa na awe na maumbile ya kawaida au kiba100 huwezi pata maumivu.

napita
🤣🤣🤪🏃😎
 
Back
Top Bottom