princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..
wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
pepsi mchana mida ya saa 5umekunywa nini?
iliwahi experience hayo nilipokunywa red bulls
asante kwa ushauriPoleh sana unaweza chemsha maji ya uvuguvugu then kunywa taratibu ukiwa relaxed pia ningekushauri kama unaweza jitaidi ucheki Blood pressure yako uangalie kama ipo vizur, unaweza kuchek na Haemoglobin level uone kama ipo kweny normal range kwa sababu ikishuka inakua tatizo kidog. Kama vyote vipo ok then unaweza ukawa na stress which can cause you to have depression, so ni vizur ukapunguza mawazo u will be ok
pepsi mchana mida ya saa 5
ingine saa9
hali imenianza saa3 gafla
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..
wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
waweza nielewesha vizuriHuenda ikawa ni anxiety attack hiyo..
sawaacha kunywa pepsi......ina caffeine inaweza kuwa ndo chanzo
sawa
asante kwa ushauri
je nitakua sawa? baada ya muda gani
Kunywa fanta orange ya barid , utumie na glucose aftr few minutes utakua okey, mi nikinywa kahawa napatwaga na hali km yakosawa
asante kwa ushauri
je nitakua sawa? baada ya muda gani
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..
wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
eeh ngoja niache sasa..Kunywa fanta orange ya barid , utumie na glucose aftr few minutes utakua okey, mi nikinywa kahawa napatwaga na hali km yako
asante sanaPole sana
hapana iko serious sanaUtakuwa ulitaka kufumaniwa wewe huna lolote ni woga tuu mkuuu
nataka kulalakula chakula relax tazama tv
utakuwa sawa...acha pepsi,coca au kahawa au sigara
Km unaweza tumia ulale kwa amani, hii hali ikikutokea usiku lazma utoe wosia maana utaona km roho inatoka. Alaf mara nyingi husababishwa na msingo wa mawazo wa mda mrefu, unguza mawazo la sivyo hali hii itaendelea kukua na kukutokea mara kwa maraeeh ngoja niache sasa..
je nikilala haitasaidia