Nina Tatizo, gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.

Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..

wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike
 
Poleh sana unaweza chemsha maji ya uvuguvugu then kunywa taratibu ukiwa relaxed pia ningekushauri kama unaweza jitaidi ucheki Blood pressure yako uangalie kama ipo vizur, unaweza kuchek na Haemoglobin level uone kama ipo kweny normal range kwa sababu ikishuka inakua tatizo kidog. Kama vyote vipo ok then unaweza ukawa na stress which can cause you to have depression, so ni vizur ukapunguza mawazo u will be ok
 
Nenda hospitali haraka sana.

asante kwa ushauri
kidogo najiskia afadhali
 
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.

Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..

wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike

Huenda ikawa ni anxiety attack hiyo..
 
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.

Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya nini
yani moyo unadunda sana mpaka naogopa..
sasa najitahidi kurelax lakini bado..

wakuu nini tatizo..?
nini kifanyike

Utakuwa ulitaka kufumaniwa wewe huna lolote ni woga tuu mkuuu
 
eeh ngoja niache sasa..
je nikilala haitasaidia
Km unaweza tumia ulale kwa amani, hii hali ikikutokea usiku lazma utoe wosia maana utaona km roho inatoka. Alaf mara nyingi husababishwa na msingo wa mawazo wa mda mrefu, unguza mawazo la sivyo hali hii itaendelea kukua na kukutokea mara kwa mara
 
Back
Top Bottom