Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
 
Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
Holotel ni mtamdao wa kienyeji kama walivyo waganga wa kienyeji...customer care ni zero
 
hawajawahi kupokea simu kenge hao yan kama una ishu muhimu ya kuhusu pesa usiwahi kuweka halopesa maan hao jamaa huwa hawapokei simu sasa nashindwa kuelewa kama wameweka hiyo huduma kwa ajili ya kuzuga tu au vipi?
 
Halotel unaweka hela kwa wakala leo, meseji ya uthibitisho na hela vyote vinakuja kesho jioni [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom