Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,067 Reaction score 6,200 Sep 12, 2022 #1 Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Sep 12, 2022 #2 We huduma kwa wateja halotel njoo Carrasco putin
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 12, 2022 #3 Ni 100 Halotel. Kisha Bonyeza 1 (Kiswahili) Kisha Bonyeza 4 (Halopesa) Hapo utasikiliza blah blah kama sekunde 20 Kisha Bonyeza 0 (Kuongea na Warembo wao) Nimetoka kuwabeep sahivi wamepokea.
Ni 100 Halotel. Kisha Bonyeza 1 (Kiswahili) Kisha Bonyeza 4 (Halopesa) Hapo utasikiliza blah blah kama sekunde 20 Kisha Bonyeza 0 (Kuongea na Warembo wao) Nimetoka kuwabeep sahivi wamepokea.
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,265 Reaction score 12,268 Sep 12, 2022 #4 Piga 100
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 13, 2022 #5 Suzy Elias said: Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9 Click to expand... Holotel ni mtamdao wa kienyeji kama walivyo waganga wa kienyeji...customer care ni zero
Suzy Elias said: Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9 Click to expand... Holotel ni mtamdao wa kienyeji kama walivyo waganga wa kienyeji...customer care ni zero
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Sep 13, 2022 #6 amadala said: Piga 100 Click to expand... Hii hawapokeagi villaza wale iko kama pambo au labla call wameweka music ukipiga wanacheza tu badala ya kupokea
amadala said: Piga 100 Click to expand... Hii hawapokeagi villaza wale iko kama pambo au labla call wameweka music ukipiga wanacheza tu badala ya kupokea
sheby blogger Member Joined Dec 18, 2017 Posts 23 Reaction score 22 Sep 13, 2022 #7 hawajawahi kupokea simu kenge hao yan kama una ishu muhimu ya kuhusu pesa usiwahi kuweka halopesa maan hao jamaa huwa hawapokei simu sasa nashindwa kuelewa kama wameweka hiyo huduma kwa ajili ya kuzuga tu au vipi?
hawajawahi kupokea simu kenge hao yan kama una ishu muhimu ya kuhusu pesa usiwahi kuweka halopesa maan hao jamaa huwa hawapokei simu sasa nashindwa kuelewa kama wameweka hiyo huduma kwa ajili ya kuzuga tu au vipi?
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 6,602 Reaction score 10,801 Sep 13, 2022 #8 Halotel unaweka hela kwa wakala leo, meseji ya uthibitisho na hela vyote vinakuja kesho jioni [emoji706][emoji706][emoji706]
Halotel unaweka hela kwa wakala leo, meseji ya uthibitisho na hela vyote vinakuja kesho jioni [emoji706][emoji706][emoji706]