Nina Tatizo la kugairisha mambo/mipango (Procrastination)

The desire of winning must be greater than the fear of loosing.

Mimi huwa natumia sheria ya 5S. Ndani ya sekunde tank Natalia kuanzia jambo. Unafanya kwanza alafu ntajifunza baada ya kufanya.
Ndo malikizia hiki kitabu kinachoitwa #5secondsrule, nione kama linaweza kunisaidia
 
Mkuu sahv umefikisha sh ngap?
 


Jitahidi uanze , na malengo madogo kwanza .

Mfano ukiwa Unataka kuanza na biashara ya mil 8 wewe anza na mtaji wa mil 4 kwanza.

Jambo lolote unalotaka kulifanya anza na kidodo kidogo then baadae utapata (Momentum) Kasi ukipata kasi ile tabia itaacha yenyewe.

Then kitu cha pili katika malengo yako usiweke deadline - mfano unataka kununua kiwanja DSM usiseme lazima mwaka huu ninunue endapo hata ikitokea umekwama weka nia hata mwakani utanunua tu .

In short malengo / mipango usiiwekee ukomo (deadline )

Pia usiwaambie watu mipango yako ila jiambie wewe mwenyewe hii ipo psychologically na spiritual .


Mwisho ukiona ndani yako kuna green light ya kufanya jambo , hilo jambo wewe lifanye utafanikiwa .
 
Nimekuelewa kiongozi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…