Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Wanapenda kula biriani na kuku wa kupakwa kwahiyo ndovyakula tunavyokula na kama chakula ni tatizo mbona wao hawajambijambi kama mm

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sababu ushaijua, ni chakula chenye viungo vingi.
Kama upo serious kweli hapo lazima utafute mlo uliouzowea au Kama umenogewa na hivyo vyakula sindikiza mbogamboga nyingi, au hata na mtindi Kama wanavyofanya wenzako hapo.
 
Kwanza umeshakosea , kula kwa muhindi ni kukubali kugeuzwa msukule tegemea siku utakuwa hulipwi mshahara we utakuwa unaenda tuu kutumikishwa.. nenda ukaombewe au utambike ila wahindi wameshakuinamisha
Ndokibarua Changu mkuu sindoajira ZENYEWE

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Mbona wao hawajambijambi kama mm na wote tunakula chakula the same

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Duh kwahiyo hata huwezi jizuia ukiwa na watu? Ebu kagua linda lako kama liko sawa, halijaadjust kweli? rudishia nati zake[emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…