Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Nina tatizo la kujamba kila baada ya dakika mbili au Tatu naombeni msaada

Mkubwa labda chakula yako kwa sasa inawekewa too much hamira

Halafu hao wahindi unalala nao chumba kimoja maana huwa hawana Tania njema kabisa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Spinter muscles zimelegea, jaribu kumuona daktari
 
Chukua Ukwaju Kilogram 1,Chemsha Chuja Vema
Halafu Kunywa Wote, Wakati Unafanya Kazi Za Bustani
Usikae Mbali Na Maliwato Utaharisha Choo Kingi Baadaye Utakuwa Sawa
 
Fanya yafuatayo
1.Punguza ulaji wa maharage na mayai ya kuchemsha

2.Jitahidi ujisaidie haja kubwa walao mara tatu kwa siku.

3.Kula mapapai na bamia

4.Hayo yakishindika nenda kwa daktari akufanyie kipimo cha anus tone.
 
Umeanza vzr ila hiyo ya nne umezinguwa labda kama utani apo Sawa

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Je unajamba kwa sauti au kimya kimya?

Fanya hv kila baada ya masaa mawili uwe UNAENDA chooni unavua nguo unachuchumaa km vile unajisaidia halafu peleka mkono pale kwenye kinyeo pasuguesugue kwa nje km vile unajitawaza
Fanya hivyo mara kadhaa na itatoka mishuzi mingi mfululizo
Kila ukienda haja uwe unafanya hivyo utasaidika
 
Back
Top Bottom