Kunywa polepole usibugie, beer ni diuretic inapunguza maji mwilini harakaHabar wakuu,
Niakianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu
Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo ?
Brother hyo ni 100% sukariHabar wakuu,
Niakianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu
Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo ?
Tabata zone
Habari wakuu,
Nikianza kunywa pombe Kwa chupa moja tuh nakojoa kwenda chooni mara mbili nikinywa bia kuanzia 20 hapo ntakuwa nimeenda chooni mara kibao, mpaka naona aibu.
Hii ni shida gani wakati mara ya kwanza sikuwa nayo?
Kazi nyingine ni kukojoa. Kila kinachoingia kitatoka tu.Sasa mkuu baa nimeenda Kwa ajili ya kazi moja tuh mitungi
Kila kitu kikizidi kiwango kinakuwa hatari. Hata maji. Sasa huo uzuri unategemeana na kiwango cha intake.Kwahiyo Niko vizuri ?
Nyie mnanitisha
Nikiwa sinywi mbon siend choon