secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sukari huu ugonjwa???Una sukari mkuu
Asante mkuu. Nitafanya hivyo.Punguza kuwa resi.... Punguza mambo mengi kichwani mwako, relaaaaxxx.
Sidhani kama nyeto ni tatizo, ila ngoja nijaribu kuipunguza nione results.Punguza kidogo nyeto mkuu
Asante mkuu 🙏.Kwa hiyo umeshasahau ulichoandika. Alzheimer"s disease, ona wataalam wakuambie nini cha kufanya
Pole sana!!
Nimeshausahau kwa sababu zamani nilikuwa na ID fulani ambayo nilishaiacha.Nataka nikuhoji kidogo kuthibitisha kile ulichokiandika! Uzi wako wa kwanza kuandika humu jukwaani ulikuwa unahusu nini na uliuandika lini? Ukijibu nitathibitisha
Ndio kijana ana sukari huyuSukari huu ugonjwa???
Nilitaka kumwambia hiviPunguza kidogo nyeto mkuu
Kwani ni kweli?Nilitaka kumwambia hivi
Ninavyojua ni kweliKwani ni kweli?
kwa ID hii mkuuNimeshausahau kwa sababu zamani nilikuwa na ID fulani ambayo nilishaiacha.
Ngoja niutafute nakumbuka ilikuwa 2024.kwa ID hii mkuu
Funguka tu, Cha msingi nipate msaada 😀.Nikikuambia ukweli kaka urafiki wetu utabaki salama ndugu ?
Nihakikishie hilo ili nifunguke tu