Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Wakikushauri si utasahau? Ok jaribu kuonana na wataalamu wa afya.
Umenikumbusha mbali mkuu

Kuna jamaa alikuwa na tatizo la kusahau basi akaenda kwa dokta


Na mazungumzo yalikuwa hivi


Yeye: Dokta. Habari

Dokta: Salama .karibu

Yeye: Asante, kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusahau vitu kwa muda mfupi . Tunaweza tukawa tunaongea baada ya muda nikajikuta nimesahau


Dokta: Pole sana Hilo tatizo limeanza lini


Yeye: Tatizo Gani


Dokta: haaaa! Kwan we hapa umekuja kufanya Nini.

Yeye: Labda nimeshasahau tukumbushane

Dokta: Nenda kwanza nje ukishakumbuka utarudi
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana hasa kwetu wanywa togwa, mimi naweza kukutana na mtu leo halafu kesho tukaanza utambulisho mwingine, anyway kwanza ni kuangalia chanzo cha tatizo lako na kukifyeka, huwezi kutibu tatizo bila kuzika chanzo.
 
Back
Top Bottom