Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Hilo tatizo hutupata mara nyingi sisi Wazee, inakuwaje iwe kwa Kijana wa umri wako?

Kula vyakula vinavyoongeza uwezo wa kumbukumbu

Pia ukiweza, uwe unatembea na Notebook kwaajili ya kunote mambo yako ya muhimu ya Kila siku
 
Back
Top Bottom